LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 22, 2022

MWENYEKITI WA CCM, RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU, CHAMWINO DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiongoza  kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM  kilichofanyika leo Ukumbi wa Mikutano Ikulu ya Chamwino Dodoma
Wajumbe wa Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri  Kuu ya CCM Taifa wakifuatilia kwa makini kikao kinachoongozwa na Mwenyekiti wake Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Chamwino Dodoma


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi  Taifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg.Daniel Chongolo baada ya kumalizika kwa Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu kilichofanyika Ikulu Chamwini leo chini ya   Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages