LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 20, 2022

RIDHIWANI KIKWETE: IST ZINGATIENI TAALUMA NA WELEDI

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete ameshiriki ufungaji wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka 2022 wa Taasisi ya Wapima Ardhi na Ramani (IST) na  kuwahimiza kufanya kazi kwa kuzingatia taalum na weledi. "Nchi inawahitaji na serikali iko tayari kushirikiana nao katika kuleta maendeleo ya nchi."#KaziInaendelea #ArdhiYetu









 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages