LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2022

WAZIRI UMMY AKUTANA OFISINI KWAKE NA MTOTO MWENYE CHANGAMOTO YA KUSIKIA ALIYEFADHILIWA NA SERIKALI KUTIBIWA INDIA

 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akiwa na mtoto Vivian Lameck mwenye changamoto ya usikivu Ofisini kwake mjini Dodoma, jana. Mtoto huyo aliyefadhiliwa na Serikali kwenda kupatiwa matibabu nchini India akiwa ni mtoto pekee aliye fanyiwa operation ya kichwa ya ABI (Auditory Brainstem Implant) (Picha na Lawi Ngambiye).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages