LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2022

WABUNGE WAMCHANGIA KITITA CHA FEDHA KIJANA MVUVI ALIYEFANYA UOKOAJI KISHUJAA AJALI YA NDEGE BUKOBA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Jenista Mhagama akimkabidhi Kijana mvuvi Majaliwa Jackson kitita cha fedha alizochangiwa na Wabunge kumshukuru kwa Ushujaa aliofanya katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege katika ziwa Victoria mjini Bukoba mkoani Kagera hivi majuzi, tukio hilo lilifanyika jana Bungeni Dodoma. 
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mama Salima Kikwete ambaye ni mke wa Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, akimpongeza kijana huyo. (Picha zote na Lawi Gambiye).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages