LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2022

TADAYO AISHUKURU SERIKALI KUPELEKA CHAKULA MWANGA+video

                                              

 Mbunge wa Mwange, Joseph Tadayo ameiomba serikali kuzijengea halmashauri uwezo wa kibajeti ili zipige hatua za kimaendeleo.


Aidha, ameishukuru serikali kupeleka vyakula wilaya ya Mwanga baada ya kutokea upungufu.

Ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia mjadala wa taarifa ya KAMATI ya Kudumu ya Bunge  ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAACbungeni Dodoma Novemba 3, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Tadayo pamoja na mambo mengine akitoa ombi hilo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages