LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 3, 2022

ULENGE AUPONDA MFUMO WA KIDIJITALI WA ZABUNI USIOFAA+video


 Mbunge wa Viti Maalumu , Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameuponda mfumo wa kidijitali wa zabuni ulionunuliwa na serikali lakini umeshindwa kufanya kazi ipasavyo.

Ameongea hayo alipokuwa akichangia taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) bungeni Dodoma Noveamba 3, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ulenge akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages