LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2022

TCRA: DAR, MWANZA, ARUSHA NA MBEYA INAONGOZA KWA WINGI WA LAINI ZA SIMU +video

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt Jabir Bakari ametangaza kuwa hadi sasa Tganzania ina zaidi ya laini za simu milioni 58 na mitandao ya simu 6. Ametangaza katika mkutano na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Novemba 3, 2022, alipokuwa akielezea utekelezaji wa majukumu yao pamoja na vipaumbele kwa mwaka wa Bajeti ya mwaka 2022/23.

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Gerson Msigwa akitoa neno la shukrani wakati wa kuhitimisha mkutano huo.


PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Bakari akielezea  utekelezaji wa  majukumu yao...

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages