LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 5, 2022

SILLO AWAOMBA WENYE DHAMANA YA UONGOZI WAWE NA UCHUNGU NA WATANZANIA+video


 

Mbunge wa Babati, Daniel Sillo ameliomba bunge kuazimia wabadhilifu wa mali za umma wachukuliwe hatua kali za kisheria ambapo pia amewataka wenye dhamana ya uongozi kuwa na uchungu na watanzania.
Ameyasema hayo alipokuwa akichangia hoja ya taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), bungeni Dodoma Novemba 5, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Sillo akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages