LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 5, 2022

WAZIRI MKUU: HAKUNA MWALIMU ATAKAYEKOSA KUPATA KISHIKWAMBI+video


Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akigawa vishikwambi kwa wawakilishi wa walimu katika uzinduzi wa ugawaji wa ugawaji huo uliofanyika kwenye Ukumbi mpya wa mikutano wa Halmashauri ya Jiji Mtumba, jijini Dodoma Novemba 4, 2022. Vishikwambi 293  vilivyotumika wakati wa sensa vinagawiwa kwa walimu wote nchini.









 

Baadhi ya walimu, wanafunzi na viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,  Waziri Mkuu akielezea umuhimu wa vishikwambi hivyo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages