LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 5, 2022

MGALU ANG'AKA BUNGENI KUKITHIRI KWA UBADHILIFU WA MALI ZA UMMA+video

 


 Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu, akitoa mchango wake bungeni Dodoma Novemba 5, 2022 wakati wa kujadili taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali ambapo amewajia juu wabadhilifu wa mali za umma wakiwemo wa Bandari ya Tanga na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akitoa mchango wake huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages