LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2022

RAIS SAMIA ASHUGHULIKA NA HEKA HEKA YA MAJI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais Samia Suluhu Hassan, akiangalia maji baada ya kuwasha mtambo, (pampu) wa kutoa maji chini ya ardhi kwenye kisima cha urefu wa mita 450, kwa ajili ya kuyapeleka kwenye tanki kubwa la rneo la Kigamboni Jijini Dar es Salaam, leo, Novemba 11, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan, akisaidiwa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso, wakati akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Mradi wa maji Kigamboni ambao unatoa maji lita milioni 70 kwa siku kwa ajili ya wakazi wa maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam, leo Novemba 11, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan akisaiduwa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi na ugawaji wa magari ya mitambo kwa ajili ya kuchimbia visima virefu na mabwawa sehemu mbalimbali nchini kwenye hafla iliyofanyika Kigamboni, leo. Katika sare ya CCM ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages