LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 7, 2022

RAIS DK. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA BENKI KUU YA TANZAMIA, LEO IKULU MJINI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania kubadilishana mawazo kuhusu hali ya uchumi ilivyo nchini hasa baada ya janga la UVIKO - 19 na kuendelea kwa vita vya Urusi na Ukraine. 

Ujumbe huo wa Benki Kuu ya Tanzania umeongozwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florens Luoga. 









No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages