LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 7, 2022

RAIS SAMI KATIKA MKUTANO WA TABIA NCHI MISRI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Malawi Mhe. Lazarus Chakwera katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh International Congress Centre

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres (kulia) mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa COP27 unaofanyika katika Mji huo nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wanaohudhuria mkutano wa  27 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaoendelea katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi Wakuu wa nchi mbalimbali kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kujadili mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaofanyika katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022. 


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages