LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 7, 2022

SERIKALI YAKUBALI OMBI LA MBUNGE BUTONDO KUNUNUA MTAMA, UWELE KISHAPU+video


 Mbunge wa Kishapu, Boniface Butondo amehoji bungeni Dodoma leo Novemba 7, 2022, ni lini serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuanza kununua kutoka kwa wakulima mtama na uwele?

Aidha, amehoji kuwa serikali ina mpango gani wa kununua ndege ya kunyunyizia dawa ndege aina ya kwelea kwelea waharibifu wa mazao hayo?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Butondo akihoji mambo hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages