LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 8, 2022

PROF. MUHONGO: ILI TUPATE MAENDELEO, TUPAMBANE UCHUMI UKUE KWA ASILIMIA 8 +video


 Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo amelikosha bunge hadi kusifiwa na Naibu Spika wa Bunge, Musa Zungu kwa mchango wake murwa wakati wa kujadili mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 pamoja na Mwongozo wa kuandaa Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka Fedha wa 2023/2024.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Prof. Muhongo akitoa mchango wake huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages