Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi ameishauri serikali kuweka ruzuku kwa wachimbaji madini nchini ili kuongeza pato la wachimbaji na Taifa kama ilivyo kwenye kilimo.
Aidha, Kapufi ameitaka serikali kuboresha kitengo cha maafa kitakachokuwa na uwezo kukabili majanga mbalimbali.
Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia hoja bungeni leo Novemba 8, 2022 wakati wa kujadili Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/ 2024.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kapufi akitoa ushauri wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇