LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 8, 2022

HHAYUMA ATAKA SERIKALI KUPELEKA HANANG MBEGU BORA ZA NGANO, SHAYIRI+video


 Mbunge wa Hanang, Mhandisi Samweli Hhayuma ameishauri serikali kutosahau kuiweka kwenye Mpango wa Maendeleo wa Taifa sekta ya uzalishaji wa mazao mbalimbali.

Aidha, ameiomba serikali kupeleka mbegu bora ya ngano, shayiri katika jimbo lake la Hanang.

Pamoja na mambo mengine ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia majadiliano ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2023/24, bungeni Dodoma Novemba 8, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Hhayuma akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages