Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deo Mwanyika amesema kuwa mambo mawili ambayo ni sumu ya uwekezaji nchini na nje ya nchi kuwa ni sheria zisizotabirika na urasimu. Ameyasema hayo alipokuwa akichangia hoja ya majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Uwekezaji nchini ya mwaka 2022 bungeni Dodoma Novemba Mosi, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇