Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deo Mwanyika ameseama kuwa mambo mawili ambayo ni sumu ya uwekezaji nchini na nje ya nchi ni sheria zisizotabirika na urasimu. Ameyasema hayo alipokuwa akichangia hoja ya majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Uwekezaji nchini ya mwaka 2022 bungeni Dodoma Novemba Mosi, 2022
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mlagila akitoa mchango wake huoMbunge wa Kyela, Ali Jumbe Mlagila amesema kuwa ikipitishwa muswada wa sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania itapata heshima kubwa katika anga la kimataifa.
Ametoa mchango wake huo wakati wa majadiliano ya muswada huo bungeni Dodoma Novemba Mosi, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mlagila akitoa mchango wake huo...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇