Mbunge wa Viti Maalumu, Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameipongeza serikali ya Rais Samia Suluhu Hassani kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ambao amedai umekuja kwa wakati sahihi lengo likiwa ni kuleta maadili kwa watanzania kuhusu masuala ya teknolojia ya habari.
Ametoa mchango wake huo wakati wa kujadili hoja ya muswada huo uliowasilishwa bungeni na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye bungeni Dodoma Novemba Mosi, 2022. Muswada huo umeshapitishwa na bunge unasubiri kusainiwa na Rais Samia.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mhandisi Ulenge akitoa mchango wake huo...
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇