Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akimsikiliza Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi wakati wa kikao cha bunge.
Mnadhimu Mkuu wa Serikali bungeni, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene (kushoto) akijadiliana jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Eliezer Feresh.
Mbunge wa Viti Maalumu, Gati Chometa akiwasilisha bungeni muswada wa sheria ya miundombinu ya taarifa binafsi.
Mbunge wa Mvomero, Jonas Van Zeeland akiuliza swali bungeni.
Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Iringa, Dkt Rita Kabati akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt Steven Kiruswa akijibu maswali kutoka kwa wabunge.
Kutoka kushoto ni Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo, Mbunge wa Monduli, Fred Lowassa na Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga.
Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika.
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na Watu Watu Wenye Ulemavu, Patropas Katambi.
Mbunge wa Viti Maalumu, Jane Jerry akiingia bungeni.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇