Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijumuika kusikiliza mada mbalimbali baada ya kuhutubia Viongozi pamoja na Wananchi waliohudhuria kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati safi ya kupikia lililofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇