Madaktari bingwa wa magonjwa ya watoto wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt.
Stella Mongella na John King’ori kutoka Hospitali
ya Dian Beach ya nchini Kenya wakifundishwa na madaktari kutoka Germany Society
for Tropical Pediatrics and International Child Health (GTP) jinsi ya kufanya
kipimo cha kuchunguza moyo wa mtoto unavyofanya kazi (Pediatric Echocardiography).
Mafunzo hayo ya siku tano yanahudhuriwa na wataalamu wa afya 22, watano kutoka
Bara la Ulaya, mmoja nchini Kenya na 16 kutoka Hospitali mbalimbali hapa nchini
yanatolewa na JKCI kwa kushirikiana na GTP na Chama cha madaktari wa watoto
Tanzania. Madaktari bingwa
wa magonjwa ya watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) wakifundishwa na madaktari kutoka Germany Society for Tropical
Pediatrics and International Child Health (GTP) jinsi ya kufanya kipimo
cha kuchunguza moyo wa mtoto unavyofanya kazi (Pediatric
Echocardiography). Mafunzo hayo ya siku tano yanayofanyika JKCI
yanahudhuriwa na wataalamu wa afya 22, watano kutoka Bara la Ulaya,
mmoja nchini Kenya na 16 kutoka Hospitali mbalimbali hapa nchini. Daktari bingwa wa
wagonjwa waliolazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kiwete (JKCI) Vivian Mlawi akifundishwa na madaktari
kutoka Germany Society for Tropical Pediatrics and International Child
Health (GTP) jinsi ya kufanya kipimo cha kuchunguza moyo wa mtoto
unavyofanya kazi (Pediatric Echocardiography). Mafunzo hayo ya siku tano
yanatolewa na JKCI kwa kushirikiana na Shirika la Ujerumani na Chama
cha madaktari wa watoto Tanzania na kuhudhuriwa na wanafunzi 22 watano
kutoka Bara la Ulaya, mmoja nchini Kenya na 16 kutoka Hospitali
mbalimbali hapa nchini. Daktari bingwa
wa magonjwa ya watoto Franziska Schmidt wa Germany Society for Tropical
Pediatrics and International Child Health (GTP) akifundisha wataalamu
wa afya jinsi ya kufanya kipimo cha kuchunguza moyo wa mtoto
unavyofanya kazi (Pediatric Echocardiography). Mafunzo hayo ya siku tano
yanahudhuriwa na wataalamu wa afya 22, watano kutoka Bara la Ulaya,
mmoja nchini Kenya na 16 kutoka Hospitali mbalimbali hapa nchini
yanatolewa na JKCI kwa kushirikiana na GTP na Chama cha madaktari wa
watoto Tanzania. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Your Ad Spot
Nov 1, 2022
JKCI YATOA MAFUNZO UCHUNGUZI MOYO WA WATOTO
Tags
Afya#
futured#
Share This
About Author CCM Blog
futured
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇