LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 20, 2022

BALOZI CHIPETA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA UHOLANZI

Balozi wa Tanzania nchini Austria Balozi Caroline Kitana Chipeta alipowasili katika Kasri lililoko Noordeinde, The Hague,  Uholanzi kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Willem-Alexander wa Uholanzi, jana Oktoba 19, 2022.

 

Balozi wa Tanzania nchini Austria Balozi Caroline Kitana Chipeta alikikabidhi hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Willem-Alexander wa Uholanzi, jana Oktoba 19, 2022. 

Balozi wa Tanzania nchini Austria Balozi Caroline Kitana Chipeta akiwa  na Mtukufu Mfalme Willem-Alexander wa Uholanzi, baada ya kumkabidhi Hati za Utambulisho jana Oktoba 19, 2022. 
Balozi wa Tanzania  katika Falme ya Uholanzi, Balozi Caroline Kitana Chipeta katika picha ya pamoja na maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini humo baada ya kuwasilisha  Hati za Utambulisho kwa Mfalme wa Uholanzi

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages