LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 20, 2022

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAFANYIKA LEO KISIWANDUI ZANZIBAR

Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akishauriwa jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui Jijini Zanzibar. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Hussein Ali Mwinyi na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Adalla Juma SadalaMabodi.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwa katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakipitia mada zilitakazojadiliwa katika kikao hicho
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwa katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakipitia mada zilitakazojadiliwa katika kikao hicho.
Baadhi ya Wenyeviti wa CCM wa Mikoa na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa kwenye kikao hicho.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika Kikao hicho. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages