LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 20, 2022

WAWEKEZAJI KUMIMINIKA UZINDUZI WA SERA YA UBIA NHC NOVEMBA 14+video

 


Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uwekezaji na Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),Bw.William Ngenya, akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa  na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa kuhusu uzinduzi wa sera yake ya ubia unaotarajiwa kufanyika Novemba 14, mwaka huu jijini Dar es salaam.

Meneja Habari na Uhusiano wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Muungano Saguya,akizungumza wakati wa Mkutano na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa sera ya ubia unaotarajiwa kufanyika Novemba 14, mwaka huu jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uwekezaji na Biashara wa shirika la Nyumba la Taifa (NHC),Bw.William Ngenya, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa kuhusu uzinduzi wa sera yake ya ubia unaotarajiwa kufanyika Novemba 14, mwaka huu jijini Dar es salaam.Kushoto ni Meneja Habari na Uhusiano wa Shirika hilo, Muungano Saguya.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Saguya na Ngenya wakielezea kuhusu mkutano huo...

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages