LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 24, 2022

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONDOKA NCHINI LEO KWENDA TOKYO JAPAN KUMWAKILISHA RAIS SAMIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhirikiano wa Afrika ya Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, kabla ya kuondoka hapa Nchini leo Jumamosi, Septemba 24, 2022, kwenda Tokyo, Japan ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi  ya Kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu nchi hiyo, Shinzo Abe. Kushoto ni mkewe Mary na wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages