LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 26, 2022

STANLEY MKANDAWILE AWAFUNDA WALIOCHAGULIWA JUMUIYA YA WAZAZI KIGAMBONI, JANA

Na Bashir Nkoromo. Kigamboni

Kufuatia mchakato wa Uchaguzi wa Viongozi  wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana, Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kigamboni ilifanya uchaguzi huo kwa amani na utulivu.

Katibu wa CCM Wilaya hiyo Stanley Mkandawile ndiye alifungua Mkutano wa Uchaguzi huo, ambao Mwenyekiti wake wa muda alikuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Kata ya Somangila Godwin Mjelwa akisaidiana na Mwenyekiti wa UWT Wilaya hiyo Catherine Mwenda.

Baada ya Uchaguzi huo Mkandawile alizungumza na Blog ya Taifa ya CCM (CCM Blog) na kueleza mambo kadhaa kuhusu uchaguzi huo. Tafadhali Msikilize kwenye Video fupi, Hapo👇

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages