LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 16, 2022

SHALLY RAYMOND: LINI SERIKALI ITAWEKA SHARTI LA KILA NYUMBA KUWA NA KINGA MAJI YA MVUA?+video


 Mbunge wa Viti Maalum, Shally Raymond amehoji bungeni ni lini serikali itaweka sharti la kila nyumba kuweka kinga maji ya mvua kwa ajili ya kuhifadhi kwa matumizi mbalimbali?

Aidha ameuliza ni lini serikali itajenga mifereji ya maji ya mvua hasa katika maeneo ya miinuko kama wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro ili kuepusha mmomonyoko wa udongo unaharibu hata barabara?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Shally akihoji mambo hayo muhimu...
 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages