Baada ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kigoma, Josephine Genzabuke kuiokomalia serikali kuhusu kupeleka huduma ya afya katika Mji wa Kagerankanda, hatimaye imeamua kutenga sh. mil 500 kupitia mapato ya ndani ya halmashauri za ujenzi wa kituo cha afya.
Jibu hilo limetolewa na Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt Festo Dugange ambaye pia alisema suala la gari la kubebea wagonjwa litatatuliwa.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Genzabuke akiikomalia serikali kuhusu jambo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇