LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 16, 2022

RIDHIWANI KUAMBATANA NA MBUNGE KUCHAUKA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI LIWALE+video

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, akijadiliana jambo na Waziri wa wizara hiyo,  Dkt Angeline Mabula bungeni Dodoma leo septemba 16, 2022.
Ridhiwani akijazungumza na Naibu Waziri wa Elimu, Sayans ina Teknolojia, Omar Kipanga.

Swali la wananchi wa Liwale juu ya Upimaji na Changamoto zake umepata majibu na ahadi ya hatua za Utatuzi. 
Ridhiwani Kikwete akijibu Swali kwa niaba ya Waziri  na kumuhakikishia Mbunge kuwa Serikali inafanya jitihada kutatua kero hizo. #KaziInaendelea #ArdhiYetu.




 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages