LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 19, 2022

MWAKANG'ATA: NI LINI UJENZI WA HOSPITALI MPYA YA MKOA WA RUKWA UTAANZA?+video

 

 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata amehoji bungeni ni lini serikali itaanza ujenzi wa Hospitali ya Mkoa katika eneo maalumu lililotengwa kwa ajili hiyo.

Ameuliza swali hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Sept. 19, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwakang'ata akipambania ujenzi huo wa Hospitali...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages