LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 19, 2022

TADAYO AMPONGEZA RAIS SAMIA TANZANIA KURIDHIA ITIFAKI YA MAPAMBANO DHIDI YA UGAIDI KIMATAIFA+video


Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa serikali kupeleka muswada bungeni wa kuridhia itifaki ya Umoja wa Afrika ya mapambano dhidi ya ugaidi. Pongezi hizo amezitoa alipokuwa akichangia hoja hiyo bungeni Dodoma Septemba 19, 2022, jijini Dodoma.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Tadayo pamoja na mambo mengine akitoa pongezi hizo kwa Rais....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages