LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 8, 2022

KATIBU MKUU CCM CHONGOLO AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM NCHINI

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipitia kitabu chenye machapisho ya Mkutano Mkuu wa kwanza mpaka wa 12 wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietman (CPV) pamoja na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kulia) mara baada ya kukabidhiwa na  Balozi wa Vietnam nchini Komredi Nguyen Nam Tien (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo Lumumba, jijini Dar Es Salaam, Alhamis, Septemba 8, 2022.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Viet Nam nchini Tanzania, Komredi Nguyen Nam Tien (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo Lumumba, jijini Dar Es Salaam, Alhamis, Septemba 8, 2022. PICHA ZOTE NA ADAM MZEE

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages