LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 8, 2022

KAMATI YA MAWAZIRI 8 YAIELEZA KAMATI YA BUNGE MAFANIKIO YA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI

 

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akielezea kuhusu mafanikio ya Kamati ya Mawaziri 8 ya kutatua migogoro ya ardhi nchini wakati wa kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iliyokuwa inapokea taarifa hiyo bungeni Dodoma Septemba 8, 2022. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Pindi Chana.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Pindi Chana. akielezea  mambo zaidi yaliyojitokeza wakati wa uatatuzi wa migogoro hiyo na hatua wanazozichukua. Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete.

Waziri wa Nchi, Ofisi ys Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa akisisitiza kuwepo ushirikiano baina ya wizara hizo katika utatuzi wa migogoro hiyo.

Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hassan Mtenga akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Shaban Shekilindi akiongoza kikao hicho.


 

Baadhi ya wabunge na maafisa wa serikali wakiwa katika kikao hicho.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages