LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 8, 2022

LAAC YAIAGIZA HALMASHAURI YA SERENGETI KUJIKITA KUKUSANYA 20% YA MAPATO YAO HIFADHI YA SERENGETI+video

 


 

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa (LAAC), imeuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuacha uzembe, iongeze jitihada za kukusanya asilimia 20 ya mapato yao kwenye hifadhi ya Serengeti, mahoteli na wawiwandi wanyama. 

 Agizo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa kamati hiyo kwa niaba ya Kamati, Seleman Zedi baada ya kufanya mahojiano na uongozi huo katika kikao kilichofanyika Septemba 8, 2022 bungeni Dodoma.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Seleman Zedi akitoa agizo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages