LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 8, 2022

KAMATI YA BUNGE YAMPONGEZA MKURUGENZI TUNDUMA, KUMUAJIRI AFISA UGAVI KUTOKA SUMBAWANGA BAADA YA WATATU KUFARIKI+video

 


 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa (LAAC), Seleman Zedi akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Septemba 8, 2022, ambapo kwa niaba ya Kamati hiyo imempongeza Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Halmashairi ya Mji wa Tunduma, Songwe, kwa kufanya jitihada za kumwajiri Afisa Manunuzi (Ugavi) kutoka Sumbawanga baada ya muda mrefu nafasi hiyo kukosa mtaalamu wa sekta hiyo kutokana na vifo vya mfululizo vya maafisa ugavi watatu, lakini tangu afisa huyo ashike madaraka mambo yanakwenda vizuri.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Seleman Zedi pamoja na mambo mengine akitoa pongezi hizo kwa niaba ya kamati ya LAAC....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages