Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Karani wa Sensa Phausta Ntigiti wakati alipokuwa akihesabiwa katika Makazi yake Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma, leo Agosti 23, 2022 kwenye shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuhesabiwa katika Makazi yake Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma, Agosti 23, 2022 katika shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), leo Agosti 23, 2022 ameshiriki zoezi la sensa ya watu na makazi ambapo amehesabiwa katika makazi yake yaliyopo mtaa wa Sisimba, Uzunguni Jijini Mbeya
Aug 23, 2022
Home
featured
Kitaifa
SENSA: RAIS SAMIA, MAKAMU WA RAIS NA SPIKA WA BUNGE DK. TULIA ACKSON WAHESABIWA, LEO
SENSA: RAIS SAMIA, MAKAMU WA RAIS NA SPIKA WA BUNGE DK. TULIA ACKSON WAHESABIWA, LEO
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This

About Bashir Nkoromo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇