LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 10, 2022

SPIKA DK. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI POLEPOLE NCHINI MALAWI, LEO

Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi, Balozi Humphrey Polepole baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini humo, leo Julai 10, 2022 .  Spika amefika Nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC – PF) utakaoanza tarehe 11 hadi 16 Julai, 2022 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Bingu (BICC) Jijini Lilongwe.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages