LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2022

SERIKALI IMEUNDA JOPO LA WATAALAM KUBAINI UGONJWA ULIOZUKA LINDI+video

 Akitangaza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Julai 13, 2022, Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt Alfello Sichwale amesema kuwa serikali imechukua hatua ya kuunda jopo la watalaam ili kubaini ugonjwa uliozuka mkoani Lindi na kuua watu watatu.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages