LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2022

EWURA YAWATOA WASIWASI WATANZANIA KUHUSU BEI YA MAFUTA+video

 Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Titus Kaguo akizungumza na CCM Blog kwenye viwanja vya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam, amesema kuwa watanzania wasiwe na wasiwasi kwamba bei ya mafuta ikishuka katika soko la dunia hapa kwetu haitashuka.Amewahakikishia kuwa itashuka tu kama ilivyotokea wakati wa COVID Mwaka 2020 ambapo yalishuka kutoka SH. 2000 hadi 1500.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kaguo akiwatoa wasiwasi huo....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages