LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2022

EWURA CCC YAWAPA MBINU WATUMIAJI WA MAFUTA, GESI NA MAJI+video

 


Mjumbe wa Baraza la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji zinazohudumiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA CCC), Rose Goima akielezea mbinu mbalimbali zinazoweza kutumiwa na watumiaji wa huduma hizo ili kupunguza gharama pamoja na kudai fidia wakitendewa visivyo na watoaji huduma. Goima huyo alikuwa anatoa maelezo hayo wananchi walipokuwa wakitembelea banda lao katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yaliyoanza Juni 28 na kumalizika Julai 13 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Goima akielezea kuhusu mbinu hizo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages