LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 21, 2022

RAIS SAMIA ASALIMIANA NA RAIS WA SOMALIA JIJINI ARUSHA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza  na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha tarehe 21 Julai 2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages