LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 21, 2022

PROF. MUHONGO KUSHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA UHAMASISHAJI SENSA

 SENSA YA WATU NA MAKAZI YA TAREHE 23.8.2022


Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ATASHIRIKI KIKAMILIFU kwenye uzinduzi huo Jimboni mwetu na kwenye uhamasishaji ndani ya Kata zetu zote 21.

Watakaoshiriki kwenye UZINDUZI huo ni:

*Mwenyekiti wa Kamati ya Wilaya ya SENSA ya Watu na Makazi:*
*Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Dkt Khalifan Haule

*Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC)*
*Ndg Nitu Palela

*Viongozi wengine wa Wilaya yetu*

*Tarehe ya Uzinduzi:*
Jumamosi, 30.7.2022

*Muda*
Kuanzia Saa 9 Mchana (15 hrs)

*Mahali*
Kijiji cha Busekera
Kata ya Bukumi

*Vikundi vya Burudani*

*Kwaya ya Bugoji
*Kwaya ya Kiriba

*Ngoma ya Liranda Bugwema
*Ngoma ya Kiwanjuki Kiriba
*Ngoma ya Mbegete Nyakatende

*Mtelezo Show Nyakatende

*Muda wa Kampeni za Uhamasishaji*

Kuanzia:
Tarehe 30.7.2022

Hadi:
Tarehe 22.8.2022

*JIANDAE KUHESABIWA*

SHIRIKI KIKAMILIFU SENSA YA WATU NA MAKAZI KWA MAENDELEO ENDELEVU YA TANZANIA

Ofisi ya Mbunge 
Jimbo la Musoma Vijijini

Tarehe:
Jumatano, 20.7.2022

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages