LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 14, 2022

RAIS SAMIA AONGOZA HAFLA YA KUMBUKIZI YA PILI YA HAYATI MKAPA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joaquim Chissano mara baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya pili ya Kumbukizi ya Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa tarehe 14 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais Mstaafu wa Msumbiji akihutubia katika maadhimisho ya pili ya Kumbukizi ya Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa tarehe 14 Julai, 2022.
Wahudhuriaji wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia katika maadhimisho ya pili ya Kumbukizi ya Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa tarehe 14 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Msumbiji Joaquim Chissano pamoja na Wenza wa viongozi mara baada ya maadhimisho ya pili ya Kumbukizi ya Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa tarehe 14 Julai, 2022. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages