LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 14, 2022

LUBINGA AFUNGUA SEMINA YA KUWANOA MDIWANI WA KATA ZOTE MKOANI KILIMANJARO

Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akizungumza na Madiwani kutoka Halmashauri saba za mkoa wa Kilimanjaro, katika semina ya kuwajengea uwezo wa utekelezaji wa kazi na majukumu ya madiwani hao. 


Semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ofisi za CCM Mkoa wa Kilimanjaro, jana Julai 13, 2022


Madiwani hao ni kutoka halmashauri za Mwanga, Siha, Hai, Same, Moshi Vijijini, Rombo na Moshi Manispaa.

Madiwani kutoka halmashauri saba za mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika semina ya kuwajengea uwezo wa utekelezaji wa kazi na majukumu yao, iliyofanyika katika ukumbi wa ofisi za CCM Mkoa wa Kilimanjaro. (Picha na Mpigapicha Maalumu, SUKI, CCM)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages