Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maaskofu kutoka
nchi mbalimbali Barani Afrika pamoja na baadhi ya viongozi katika maadhimisho
ya mkutano wa 20 wa Shirikisho la
Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati
(AMECEA) uliofanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere
Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Julai, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akimsalimia Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es
Salaam Muadhama Kardinali Polycarp Pengo kwenye maadhimisho ya mkutano wa 20 wa
Shirikisho la
Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati
(AMECEA) uliofanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere
Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Julai, 2022.
Maaskofu wa Kanisa Katoliki kutoka
nchi mbalimbali pamoja na Wageni wengine wakiwa kwenye maadhimisho ya mkutano wa
20 wa Shirikisho la
Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati
(AMECEA) uliofanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere
Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Julai, 2022.
Your Ad Spot
Jul 12, 2022
RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA 20 WA AMECEA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About Bashir Nkoromo
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇