LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 12, 2022

RAIS DK. MWINYI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA, IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini mwa Afrika, Bi.Victoria Kakwa (kushoto) wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo Julai 12, 2022, walipofika  Ikulu Jijini Zanzibar (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Dkt.Saada Mkuya Salum.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages