LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 12, 2022

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA KOMREDI KINANA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA DOS SANTOS WA ANGOLA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana  akisaini Kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam, leo Julai 12, 2022,  kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha MPLA na Rais wa pili wa Nchi hiyo Komredi JosĂ© Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022. nchini Hispania.
Kushoti ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka na Balozi wa Angola hapa nchini Balozi Sandro De Oliveira
Balozi wa Balozi wa Angola Nchini Tanzania Balozi Sandro De Oliveira akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo leo Julai 12, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi JosĂ© Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na kupeana mikono na Balozi wa Balozi wa Angola hapa nchini Balozi Sandro De Oliveira baada ya kusaini kitabu cha maombolezo, leo Julai 12, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akifurahia jambo wakati akiagana na Balozi wa Balozi wa Angola hapa nchini Balozi Sandro De Oliveira baada ya kusaini kitabu cha maombolezo, leo Julai 12, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022. Kushoto ni katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages