LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 12, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BAADHI YA WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages